<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><title>Tafuta Daima Utakatifu TZR13</title>
<lyrics>[V1]
 Tafuta daima utakatifu;
 Fanya urafiki na Wakristo tu;
 Nena siku zotena Bwana wako,
 Baraka uombe kwa kila jambo.

[V2]
 Tafuta daima utakatifu;
 Uwe peke yako ukimwabudu;
 Ukimwangalia mwokozi wako,
 Utabadilishwa kama alivyo.

[V3]
 Tafuta daima utakatifu;
 Kiongozi wako aew Yesu tu;
 Katika furaha au huzuni
 Dumu kumfuata Yesu Mwokozi.

[V4]
 Tafuta daima utakatifu;
 Umtawaze Roho moyoni mwako;
 Akikuongoza katika haki,
 Hufanywa tayari kwa kazi yake.</lyrics>
<hymn_number>13</hymn_number>
</song>